Mission Yetu
Kutoa elimu ya afya ya asili na tiba bunifu kwa njia rahisi, nafuu na ya kidijitali, ili kumwezesha kila mtu kuboresha maisha yake ya kiafya, kulinda familia yake, na kuishi maisha yenye furaha na maridhawa.
Vision Yetu
Kuwa kituo kinachoaminika barani Afrika na duniani kote kwa kutoa maarifa ya afya ya asili, tiba za nyumbani, na mbinu za kimaisha zinazobadilisha Afya vizazi kwa vizazi.
Thamani Kuu (Core Values)
-
Uhalisia na Usahihi β Tunatoa elimu ya kuaminika na inayojengwa kwenye misingi ya kitaalamu.
-
Upatikanaji kwa Wote β Maarifa ya afya ni haki ya kila mtu, popote alipo Anatakiwa Kunufaika.
-
Ubunifu β Tunatumia njia bunifu na rahisi kueleza mambo magumu.
-
Msaada wa Jamii β Tunajenga jumuiya ya kujifunza, kushirikiana, kuimarishana na kutiana moyo.
-
Uwajibikaji β Tunahakikisha huduma zetu zinakidhi viwango bora na maadili ya afya.
βChukua Hatua β Jifunze, Badilika Afya na Uishi Katika Afya Bora Zaidi!β
