Kozi hii imebuniwa mahsusi kwa wanaume wanaotaka kuimarisha afya ya uzazi na kurejesha nguvu za kiume bila kutegemea dawa. Utajifunza mazoezi rahisi lakini yenye ufanisi mkubwa katika kuongeza mzunguko wa damu, kuimarisha misuli ya nyonga, kuboresha stamina na kuondoa uchovu wa mwili.
Kozi itakuongoza hatua kwa hatua kupitia:
✅ Mazoezi ya kuongeza nguvu na ufanisi wa misuli ya nyonga (Pelvic floor)
✅ Mbinu za kupunguza msongo wa mawazo unaoathiri nguvu za kiume
✅ Mazoezi ya kuongeza mzunguko wa damu na kupunguza mafuta tumboni
✅ Mpangilio sahihi wa mazoezi ya kila siku kwa matokeo ya haraka
