0.00
(0.00)
Dr Renatus Lutambi
6 Courses • 3 Students
0.00
(0.00)
Biography
Dr. Lutambi ni daktari na mtaalam wa afya ya wanawake aliyejikita katika tiba asilia na elimu ya uzazi wa mpango wa kiasili. Ni mwanzilishi na mmiliki wa Afya Maridhawa, jukwaa linalotoa elimu ya kina kuhusu afya ya wanawake, uzazi wa mpango wa asili, tiba mbadala, na njia sahihi za kuongeza uwezekano wa kupata ujauzito au kupanga uzazi kwa njia salama.
Courses
Sh 25,000
